Picha: Pose mbali mbali za best loosers

Picha: Pose mbali mbali za best loosers

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,266
11262305_398184950366527_8883652774236846172_n.jpg

Mzee angeweza kuinuka na kumnasa kibao huyu dogo

11745771_656200077850050_8192838610368711127_n.jpg

Afadhali tumekosa wote mshikaji maana nilitaka kulianzisha. Kesho ningeenda zangu kwa Yuda!

Ongezea nyingine ....
 
ile ziara ya Kinana na Nape kanda ya ziwa ilikuwa na majibu haya.
 
Ugonjwa wa Lowassa umeisha ghafla? Siasa noma sana.
 
Unafiki wa kisiasa, ni wachache sana wanauweza, na wengine wanalazimishwa tu.
 
Tunaweza tukawa tunafanya utani kumbe watu ni wagonjwa jamani. Wenzangu hiyo facial expression ya picha hiyo ya kwanza mnaionaje!
 
Hii ni kwa Africa tu pale mahasimu wanapoweza kusalimiana na kushikana mikono huku wakitabasamu. Ulaya hata protokali za jinsi ya kukaa mnatengwa mbali kabisa. Kweli waafrika tuna asili yetu.
 
Back
Top Bottom