Aaah sasa nimeelewa kumbe imetokana na rabsha rabsha alizokumbana nazo . Lkn haitoshi kusema alitaka kuuawa pengine kwa sababu ya watu kua wengi alisukumwa kidogo au sababu ya prukshani za watu kukimbia mabomu walimkwaa. Manake ukisema alitaka kuuawa ni taarifa nzito kidogo. Anyway hatuwezi kujua lengo la mwandishi lilikua nini.