Picha: Pikipiki boxer inauzwa

Picha: Pikipiki boxer inauzwa

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Pikipiki aina ya BOXER inauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7 milion Tanzania shiling).

SIFA ZA PIKIPIKI.
Pikipiki imetumika kiustaarabu kwa muda wa miezi mitano tu (tokea mwezi wa tano mwaka huu), na haina matatizo yoyote yale.

Kimwonekano wa nje na ndani bado mpya na ina hati zote za umiliki, na imekatiwa bima.

MAHALI NA MAWASILIANO.
Pikipiki inapatikana DSM TMK, pia unaweza kupiga simu no. 0653422776.

NYONGEZA MUHIMU.
Bei iliotajwa hapo juu haiwezi ikapungua hata kidogo kutokana na ubora wa pikipiki hio.
 

Attachments

  • Image0064.jpg
    Image0064.jpg
    111 KB · Views: 212
Pikipiki aina ya BOXER inauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7 milion Tanzania shiling).

SIFA ZA PIKIPIKI.
Pikipiki imetumika kiustaarabu kwa muda wa miezi mitano tu (tokea mwezi wa tano mwaka huu), na haina matatizo yoyote yale.

Kimwonekano wa nje na ndani bado mpya na ina hati zote za umiliki, na imekatiwa bima.

MAHALI NA MAWASILIANO.
Pikipiki inapatikana DSM TMK, pia unaweza kupiga simu no. 0653422776.

NYONGEZA MUHIMU.
Bei iliotajwa hapo juu haiwezi ikapungua hata kidogo kutokana na ubora wa pikipiki hio.


hiyo pikipiki mpya ni mil 1.9 mpaka 2.2

kwa bei hiyo utakesha!!!
 
Mkuu upigaji wako wa picha utata mtupu.
Bei ni kubwa kupita maelezo,na unasema haiwezi kupungua,utakaa nayo sana.
Ukipata sana 1.5
 
Back
Top Bottom