Picha: Ofisi ya Nape (Waziri)

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Safi sana Waziri Nape hata mimi nimechukuwa Picha ya Raisi Magufuli nimeweka Nyumba nzima:)

Pic%2B2.JPG
 
Unafungua uzi ili ushadadie wanaume,ww ni jike au dume?kama ni dume basi unasaidiwa kazi
 
Safi sana Waziri Nape hata mimi nimechukuwa Picha ya Raisi Magufuli nimeweka Nyumba nzima:)

Pic%2B2.JPG
Mkao wa Nape unaonyesha kabisa anaelemewa na ukubwa wa tumbo. Hivi hamnaga hata gym akapunguze manyama uzembe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom