Picha nyingine ya mzee wa mstuni

Jamani huyo le mutuzi ni nani hasa katika nchi hii??? Hivi umaarufu wake anamzidi RIZ MOKO?? aaaah!?
 
heheeeee.. hii week inaisha kivyake vyake yaniiiii
 
Sio kuperfom tujiulize hao dada zetu wakati wa naniliu huwa wanawafunika na shuka kwanza usoni au ama kweli pesa ni shetani.
Hahahaaaaaaaaaa,nyuso zao kwani zikoje mpaka zifunikwe mkuu
 
Sijui inakuwaje wakati wa mate? dada zetu ni MAJASIRI kupita kifani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…