Picha ninayopenda kuitazama leo......

kwa vile wameinama wote au?

hii Pic bwana i love it si kwamba kwa vile wote wameinama ...no no no inavutia kuitazama ..kwa smile Babu kubwa harafu mmmh utaendelea mwenyewe:A S tongue:
 
sasa limoyo lako limemdodondokea nani?
 
I also like its FL1 nakuunga mkono, wako timu pinzani yet they look very happy together.
 
Unakubali kwamba umependa watu na sio picha...sivyo?

ebwana RR ni picha imenivutia hawa watu si team moja lakini tabasamu lao linaunganisha umoja wao.
naona wewe unadhani sivyo ndivyo:sick:
 
ebwana RR ni picha imenivutia hawa watu si team moja lakini tabasamu lao linaunganisha umoja wao.
naona wewe unadhani sivyo ndivyo:sick:
I apologise FL1....lugha iko na shida kwa kichwa yangu.....hapa sasa nimeelewa...
ulivyounga mkono hoja ya Asprini.......:A S confused:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…