PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

laptop bado ipo kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0759120894 au PM.
 
Mpwa kwa mtu anayejua kucheza na vitu hivyo bado hujamshawishi. Hapa Kariakoo kuna Hp Used zenye uwezo mkubwa kuliko hiyo, HDD 80 GB, RAM 1 GB, CPU 1 GHZ kwa Tsh 300,000 bado zinadoda dukani ijekuwa hiyo? Kwa ufupi hizo ni kwa wale light duty consumers kama shule ya msingi vinginevyo software mbili na video cd Tatu tu imejaa.

Ungetoa na uwezo wa CPU ndiyo ungewatendea haki wateja wako.
 
the price now is 210,000 only.call or pm
 
Mwaka jana nimenunua laptop kama hiyo kwa laki na hamsini.

From my own experience ni majanga hiyo laptop labda kama unamnunulia mtoto wa Darasa la saba.
 
if you compare specs and price=not worth buying,sorry....mpe ndugu yako yoyote zawadi..
 
maamaa eti ram 512,hdd 30gb hyo cm tena huawei y300!inayouzw lak na90!
 
labda nkupe ipad yangu iloaribika scrin unipe iyo
 
Back
Top Bottom