PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

nadhani wengi waliotoa mapungufu ya hii deal wameonyesha upande wa pili wa shilingi na sio tu kukosoa bila lengo!.. Kama ilivyo ada ya jukwaa letu ni kusaidia mawazo juu ya HASI na CHANYA za kununua.. aliyeipenda na anaona inakidhi mahitaji yake kazi kwake ( RAM 512, HDD 60GB and probably runs on Win XP!!! ) Kwa wakati tuliyonao sasa computer base specs ni RAM 2 to 4GB, HDD 100-250 GB ! Hellow mtandao! RAM 6-8 GB na HDD zingine sasa ni Tera Bytes (TB) ambayo ni 2 to the 40th power or approximately a thousand billion bytes (that is, a 1000GB).
 
Ok nimeona ila swali langu nikwazote 250,000/=au kwa moja moja??
 
nadhani wengi waliotoa mapungufu ya hii deal wameonyesha upande wa pili wa shilingi na sio tu kukosoa bila lengo!.. Kama ilivyo ada ya jukwaa letu ni kusaidia mawazo juu ya HASI na CHANYA za kununua.. aliyeipenda na anaona inakidhi mahitaji yake kazi kwake ( RAM 512, HDD 60GB and probably runs on Win XP!!! ) Kwa wakati tuliyonao sasa computer base specs ni RAM 2 to 4GB, HDD 100-250 GB ! Hellow mtandao! RAM 6-8 GB na HDD zingine sasa ni Tera Bytes (TB) ambayo ni 2 to the 40th power or approximately a thousand billion bytes (that is, a 1000GB).

no point porojo mingi,specs za pc inategemea na matumizi yako na your economic wealth
:huwezi kimbia kuliko uwezo wa miguu yako:
 
Watu kujifanya matawi humu! Ni kwa sababu hatufahamiani au? Maana ukikutana nao utashangaa wamechoka tu na hata 250,000 hawana!

Acheni hizo bandugu
 
Kweli watu tumetofautiana, mdau nilichogundua hapa hakuna mteja, mtu mwenye mahitaji anajulikana, so wasikukatishe tamaa, chombo itauzika tu!
 
Watu kujifanya matawi humu! Ni kwa sababu hatufahamiani au? Maana ukikutana nao utashangaa wamechoka tu na hata 250,000 hawana!

Acheni hizo bandugu

right bro.ni matambo na mbwembwe mingi
 
Thanks kwa kuwa mkweli wengi kutoa specification wagumu hii ndo biashara huru anaetaka anachukua asiyetaka anakaa kimya jamani
 
laptop bado ipo kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0759120894 au PM
 
Back
Top Bottom