PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

PICHA:Ninauza Laptop 250,000 Tsh

Jahace

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
5
nc1.JPG nc2.JPG nc4.JPG nc6.JPG nc5.JPG

HP Compaq nc6000
Hard drive-30GB
RAM=512MB
wi-fi
Bluetooth®
DVD-ROM drive
Battery-2hrs

Contact:0759120894
In Arusha
 
Attachments

  • nc7.JPG
    nc7.JPG
    371.5 KB · Views: 214
Una bahati niko Mwanza. Lazima ningeibeba.
 
Hdd 30gb?? Ram 512??? Simu yangu samsung galaxy hdd 32GB ram 1GB mmh way far from that. u dont have to sell it mwachie hata mdogo wako au mshkaji tu hapo kitaa
 
Very small capacity machine,watafute wasiojua uwapige aisee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukiinunua usijelalamika hapa jamvini kwamba iko goigoi na haishiki net vizuri.... I hope in As.. Is...
 
Hdd 30gb?? Ram 512??? Simu yangu samsung galaxy hdd 32GB ram 1GB mmh way far from that. u dont have to sell it mwachie hata mdogo wako au mshkaji tu hapo kitaa

ww bronze member acha zarau, sababu hajakwambia ww ununue, sababu hajakulazimisha wewe ununue, wapo watu wana hiyo hela 250k na wanataka laptop, waje kwako uatawapatia laptop buree?? au waje kwako utawapatia ki-galaxy chako bure watumie kama mbadala wa shida yao ya laptop??
 
Duh aisee kwani lazima uiuze si ugawe tu? Very old model not worth of even batter trade

akigawa bure na kama ana shida ya hiyo pesa , wewe utampatia hiyo pesa na shida yake imalizike na kisha agawe hiyo laptop yake bure???
 
Hdd 30gb?? Ram 512??? Simu yangu samsung galaxy hdd 32GB ram 1GB mmh way far from that. u dont have to sell it mwachie hata mdogo wako au mshkaji tu hapo kitaa

mbona matambo mengi kwa kitu simple sana,tuliza ball
 
Ukiinunua usijelalamika hapa jamvini kwamba iko goigoi na haishiki net vizuri.... I hope in As.. Is...

hii ni laptop sio line kwamba utakosa network.BE CAREFULL
 
Watu kwa kuponda kama uwezi kununua c uache tu........unaponda ili iweje????? Kueni na busara
 
Back
Top Bottom