Mshana hii picha karibu week umeiweka mara nyingine. Hivi Hao paka ni kweli wanavuta au photoshop
Katoto ka CCM kana roho ngumu.Mie hayo manguo wala siwezi kudekia naona badala ya kusafisha yatachafua.Hiyo ya juu imenisikitisha sana
View attachment 452013
Mimi hii hapa , kila nikiangalia nacheka
Huyu mtoto aliyekaa kwenye kiti cha kijani vipi? ni wapi kwanza
huo UK.... indeedView attachment 452066
Hii hua inanichekesha sana aiseee....