chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,383
- 24,939
HABARI WANABODI
Hiki ni choo cha wanaume katika hospitali ya mwananyamala dar es salaam.
Hatari kubwa ni kwamba hiki choo tiyari kimeshafurika kwa kujaa na kipo karibu na idara ya kifua kikuu, Maabara, na mochwari.
UONGOZI WA HOSPITALI FANYENI KITU KUREKEBISHA HII HALI YA HATARI MAANA INAHATARISHA AFYA ZA WATUMIAJI.