ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Kuanzia miaka ya 2007-2010 wabunge wa upinzani na wanaharakati wapenda maendeleo walikuwa wanatoa hoja mujarabu na kufichua mengi ,hakika upinzani ulikuwa unaleta raha
2011-2014 pia ilikuwa hivyo
Nimefuatilia vizuri uongozi na siasa ya awamu ya 5 mengi yameniacha mdomo wazi
Dr slaa aliwahi kusema ajenda ya ufisadi ambayo upinzani ilikuwa silaha yao saizi hawana na Rais Magu kwasasa ameisimamia ajenda hiyo .
Awamu hii imekuwa tofauti na awamu iliyopita haswa 2005-2010.
Rais ana mapungufu yake lakini wapinzani haswa militants wa mitandaoni kama hawajui wanayoyasimamia ,jambo dogo wanahemuka na wapo wanaotafuta loophole wachukulie advantage ..
Mfano polisi walivyomkamata Ney ,watu walianza kumtupia lawama Magufuli ,walimsema ,
Rais kawaomba Basata wamuachie Ney awe huru kusema anachokisikia na ombi kuna kukubaliwa na kukataliwa
Militants wa mitandaoni wameanza mashambulizi kwa Magufuli kwanini awaombe Basata Ney aachiwe,
Nafahamu lengo la opposition ni kutafuta wafuasi kwaajili ya uchaguzi ujao hivyo lazima watumie mbinu yeyote ile ila kiusema kweli katika siasa ya Tanzania ,wapinzani wanapitia wakati mgumu sana hivi sasa
Tofauti na nyakati zilizopita ,nawashauri upinzani tafuteni ajenda yenye nguvu ,mlituteka sana awamu iliyopita sababu ya kukosoa matumizi mabaya ya pesa ,kufichua ufisadi nk
Magu ana mapungufu na yapo ninayopingana nayo lakini hizi u-turn mnazofanya mnatuchanganya wapiga kura
Magufuli namfananisha na hawa wazee wawili na punda wao
Kila atakalofanya aidha liwe zuri,baya au lenye manufaa watamsema tu,
Tubadilikeni hata tusiyempigia kura mnatushawishi tuanze kumkubali