Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
peoples powe.r
Regia mna mpango gani kuwaunga mkono wenzenu wa Arusha?Hakuna kulala mpaka kieleweke !
Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.Regia mna mpango gani kuwaunga mkono wenzenu wa Arusha?
CCM soldarity Forever.
Huenda kesho baadhi ya Wabunge wakaenda kuwaunga mkono.Taarifa itatolewa kesho.
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.
Alifikiri unaingia na kutoka anapotaka yeye? amuulize Mwenyekiti wake walimfanya nini? alikesha central. Sasa na yeye asubiri sheria ifate mkondo.
Hakuna kulala mpaka kieleweke !