Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

Watu wameletewa habari za Husna wanashupalia masuala ya dini tuache kufikiria kwa kutumia masaburi...mimi nina swali moja kuna thread ipo huku jf inasema aliyekufa kwenye ghorofa ni raia wa ethiopia/eritrea na alikuwa kuwait....sasa ni watu wawili tofauti na huyu mtanzania au? Naona kunahitajika ufafanuzi wa kina hapa.
Ndio ni watu wawili tofauti, huyu ni binti mtanzania, mzaliwa wa Kondoa

Wewe hujalisoma hilo?
 
Ukristo haukuanza kwa wazungu. For your information.
Pia haukuanza Afrika.

Ila huwa tunatasfili white man as mzungu so hata kama ulianzia kwa waisrael or America tunaamini ni wazungu tu ndio source ya ukristo tofauti na hapo nielewesh zaidi
 
Pia haukuanza Afrika.

Ila huwa tunatasfili white man as mzungu so hata kama ulianzia kwa waisrael or America tunaamini ni wazungu tu ndio source ya ukristo tofauti na hapo nielewesh zaidi
Hapana, Yesu Kristo ndiye mwanzilishi wa UKRISTO

Yesu kristo hakuwa mzungu, alikuwa Myahudi

Wayahudi / Jewish sio wazungu

Wayahudi hasa ni watu wenye nywele nyekundu na zilizojisokota na hata ndevu ni nyekundu

Wayahudi wapo karibu zaidi na Waarabu kimfanano kuliko hata na wazungu (ambao chimbuko lao wengi ni Rumi hasa Cicily)
 
Maararabu ni majitu ya hovyo sana, mbaya zaidi yanafanya maovu yao huku yaki-refer Quran!
 
Ndo maana Mimi Trump namkubali kwa kipengere hicho cha kuwakataa hao watu. Bora ukae na simba kuliko hao mbwa mwitu wa kiarabu.

Na hapo usikute alidai mshahara wake. Mungu sio kiziwi wala kipofu asione unyama huo. Naamini lolote litatokea kwa muuaji mda na wakati tu unasubiriwa.

Husna hukustahili kupotea kwa umri huo ila pumzika kwa amani ya Mungu na machozi ya ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali twaamini ni kilio cha wengi na sio ajabu nae akafa kifo kama hicho kama sio leo basi kesho na mda utaongea. Husna pumzika Dada
 
Waafrika kweli tuna matatizo. Yani tunalaani jamii nzima ya watu kwa vitendo vya baadhi ya watu,tuna sahau kuwa huku kuna watu wanaua maalbino kisa utajiri. Wenyewe kwa wenyewe kuuana tunaona sawa ila kuuliwa mwafrika mwenzetu huko nje tu tunalaani jamii nzima.

Unapo taka kulaani jamii za watu unapaswa kuangalia jamii yako ina mazuri gani hadi uweze kulaani jamii za wengine?
 
Kama tunaweza kuuana wenyewe kwa wenyewe na tukawaacha waarabu huku afrika basi ni ujinga wetu ila tusiaminishane kwamba sie ni wema sana na ndiyo maana waarabu wanaishi vizuri huku ila sie kwao wanatufanyia unyama.
 
Waraabu ni watu katili sana.

Ukitaka kuthibitisha hilo jiulize wale watumwa walionunuliwa waliishia wapi?

Mbona kizazi chao hakipo uarabuni kama kile cha watumwa wa America?

Serikali inatakiwa kuzuia watu wasiingie uarabuni kwa kigezo cha kwenda kufanya kazi.

Natoa pole kwa wafiwa na wanafamilia wote walioguswa na msiba.
You're the great thinker.
 
Watumwa walipelekwa kwenye viwanda Amerika na ulaya.Arabuni kulikuwa hakuna viwanda,wala mashamba makubwa,wakafanye nini.
Umesoma historia kweli? Watumwa waliopelekwa Amerika kwenye mashamba walichukuliwa west africa, watumwa wa east Africa walikua wanapelekwa zanzbar na uarabuni ili kufanya kazi za mashamba na za domestic
 
Umesoma historia kweli? Watumwa waliopelekwa Amerika kwenye mashamba walichukuliwa west africa, watumwa wa east Africa walikua wanapelekwa zanzbar na uarabuni ili kufanya kazi za mashamba na za domestic
Sio kweli,kwamba watumwa walipelekwa nchi za kiarabu,waarabu wenyewe wakati wa Biashara ya utumwa,uchumi wao haukuwa mzuri.
 
Poleni wanafamilia.
Kuna anayejua kama serikali yetu imechukua au ina mpango wa kuchukua hatua yoyote? Ianze kumshughulikia agent aliyemtafutia marehemu kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom