Elections 2010 PICHA: Mwanza Yalipuka - Mkutano wa Slaa

Kutokana na picha hii inavyojieleza, jk afunge mizigo. Hata hiyo safari ya kesho haina haja kupoteza pesa za walipa kodi. Wakati wa ukombozi wa Tanzania umewadia, na haturudi nyuma!

"unafikiri nchi hii inaendeshwa na wendawazimu?mkusanyiko wa watu wengi sio ushindi wa chadema kwani kuna watu wanaenda kumsanifu tu slaa kwa ahadi zake za uongo.we unafikiri chama kipya kikitawala nchi hii kutakuwa na maendeleo?si wao watataka kushibisha matumbo yao kwanza na watu wote waliyo wa support ndio watufikirie mimi na wewe na kibaya zaidi watu wanayo support chadema ni wachaga,daima hawashibi.muwe mnafikiria mnacho zungumza,sio upambe tu.unapo zungumzia kodi,sikazi wewe haujawahi kulipa kodi toka uzaliwe.tuache ushabiki,tuangalie ukweli"
 
Hopefully hao waangalizi wa uchaguzi yaani TEMCO na jamaa zao wanayaona haya!!
 
sIJUI UNAWAIBIAJE KURA WATU KAMA HAWA? CCM imekwisha , na kila jaribio la kuharibu matokeo litawatokea puani
Karibu Ocampo, Karibu Tanzania uwapeleke mahakamani Makamba, Jk na Kinana kwa juhudi hizi wanazofanya kutuletea vurugu!
 
"unafikiri nchi hii inaendeshwa na wendawazimu?mkusanyiko wa watu wengi sio ushindi wa chadema kwani kuna watu wanaenda kumsanifu tu slaa kwa ahadi zake za uongo.we unafikiri chama kipya kikitawala nchi hii kutakuwa na maendeleo?si wao watataka kushibisha matumbo yao kwanza na watu wote waliyo wa support ndio watufikirie mimi na wewe na kibaya zaidi watu wanayo support chadema ni wachaga,daima hawashibi.muwe mnafikiria mnacho zungumza,sio upambe tu.unapo zungumzia kodi,sikazi wewe haujawahi kulipa kodi toka uzaliwe.tuache ushabiki,tuangalie ukweli"

CRAP I dn' thnk ka inaonekana..!!
 
attachment.php
 
Bahati nzur jana nilikuwepo pale uwanjani, kilchonitia moyo zaid ni pale mgombea ubunge anae mnyima Masha usingizi ezekia wenje alposimama na kuuliza kama vijana waliokuwepo pale walikuwa wamejiandikisha kupiga kura. Sikuamini nilichokiona yani wote uwanja mzima walinyanyua shahada zao za kura.
 
And all these people wamekuja wenyewe wala si malori ya kukodiwa na chama bravo CHADEMA, Go Dr. Slaa!
 
mbona mimi siioni hiyo picha? naona kadude kenye X kama ilivyo hapa chini.

slaa_mwanza.jpg

Thanks for the great job of this amazing photo, I have to say ccm you only remain with a few seconds to be in power for this country, believe or not you guys are going to loose the power. YOU are most welcome our new president DR. SLAAAAAAAA, we are ready for changes.

I want to remain all Tanzanians, please check for your vote identity wherever you put,I know some of you are not caring them all the time as I do.

Thank you Dingswayo for posting this great photo.:A S thumbs_up:
 
Nawaambia jana pamoja na mabomu yote tuliyopigwa mchana uwanja wa Furahisha bado maelfu na maelfu ya watu wakajaa Magomeni - Kirumba. Leo huyo Kikwete kama atajaza watu ni kwa sababu tu ya Original comedy wat watakimbilia kuwaangalia kina Masanja then wasepe. Jamani kwakweli mabadiliko sasa yamefika
 
Naungana na wakina Kakobe na wale wote mwenye moyo wa dhati kwa taifa hili, kakobe anatoa somo nzuri kwa watu kuwa makini na kweli Watanzania twende kupiga kura ten kwa Dr. Slaa ili dhuruma, dhiki, wizi uwe mwisho, Umati huu huhaja hapa kwa jili ya mabasi malori na wale toka maeneo mengine ila Naomba Dua kwa Mungu awalaani wote mwenye moyo wa kuiba au kubaka demokraisia Mungu angamiza wote
 
Am not lucky, picha inagoma kufunguka. May one of us enlarge one for us please.
 
"unafikiri nchi hii inaendeshwa na wendawazimu?mkusanyiko wa watu wengi sio ushindi wa chadema kwani kuna watu wanaenda kumsanifu tu slaa kwa ahadi zake za uongo.we unafikiri chama kipya kikitawala nchi hii kutakuwa na maendeleo?si wao watataka kushibisha matumbo yao kwanza na watu wote waliyo wa support ndio watufikirie mimi na wewe na kibaya zaidi watu wanayo support chadema ni wachaga,daima hawashibi.muwe mnafikiria mnacho zungumza,sio upambe tu.unapo zungumzia kodi,sikazi wewe haujawahi kulipa kodi toka uzaliwe.tuache ushabiki,tuangalie ukweli"
Bwana Shida Mwadila!! Kama utaniazima muda wako kidogo tu wa kusoma na kuelewa mambo haya, nadhani utabadilika sana kifikra.
Ni kweli nchi haiongozwi na wendawazimu, lakini ukifanya mambo yanayopingana na maadili pia ni kama uendawazimu. Fikiria mtu mwenye akili timamu akiamua kuvua nguo sokoni mchana kweupe ataonekanaje? Je, inakujia akilini mtu mzima aliyeelimika, anaetambua sababu za maambukizi ya ukimwi kwa mwanadamu, akawaambia wote waliopata maambukizi hayo ni kiherehere chao. Ni kwa namna gani mtoto azaliwaye na ukimwi amepata kwa kiherehere chake? Kiongozi bora ni yule anayetenda anachokiamini na kukisimamia, si yule anayenena asichotenda.
Umati wa wananchi wanaoenda kumsikiliza sio kielelezo tosha cha ushindi kama ulivyosema, lakini ni ujumbe kwamba watu wana imani nae na pia kuwa kuna tatizo katika utawala uliopo.
Kushibisha matumbo kwanza ni dhana uliyonayo wewe, sidhani ndio msingi wa uongozi wa nchi, kama ndio utamaduni uliozoea, basi huna budi kubadilika. Si viongozi wote wenye mtazamo wa kujilimbikizia mali wao kwanza, rejea jimbo la karatu utapata majibu pale.
Chama cha wachaga!!!! Ndugu yangu hizo ni propaganda chafu za CCM, kututenga kwa kutumia ukabila, udini na tofauti nyingine. Kama uchaga ni uenyekiti, je, CCM ni chama cha wakwere? (JK, Salma, Ridhwani n.k au family party?)
Unapojenga hoja tafakari na tumia hoja zinazoishi na si hoja zahania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom