Viongozi wasipokuwa makini taifa retu muda sio mrefu kitawaka hii njaa imekuwa kubwa sanaNjaa kali huku uraiyani, hakukaliki; hayo lazima yatokee,
......Kama waliondoka nalo ghafla kuna uwezekano mkubwa walikuwa na funguo BANDIA.Wapenzi wangu niombeeni.
tumevamiwa usiku wa leo na nimeibiwa Gari langu na mpaka sasa hivi tumeshindwa Kutoka ndani.tulifungiwa kwa nje majirani wanasaidia kubomoa makufuli.
Wapendwa wetu tumeibiwa Gari aina ya Noah T896 DGA.Maeneo ya mbezi mpiji magohe
Tunaomba mtusaidie kurusha kwa magroup inaweza kutusaidia kulipata.
Namba za simu ni 0713 600 223 AU 0786 630 066
View attachment 438877View attachment 438878
Mbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!Viongozi wasipokuwa makini taifa retu muda sio mrefu kitawaka hii njaa imekuwa kubwa sana
Wako bize na shisha ngoja majambazi watufunze adabu hatua ya kuingia Ndani kuiba Gari sio ya mchezo kabisaMbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!
Pole mkuu. Shukuru Mungu uko salama, gari ripoti polisi waachie wahangaike nalo wewe fuatilia insurance tu. Zama hizi ni vizuri kujizatiti kwenye insurance kuliko kuhangaika na hawa polisi wetu unaweza kujikuta unapoteza tena hela nyingi na gari usiipate.
Wamebanwa kwenye matumizi ya silaha sasa njaa kali wameamua kugeukia kuimba magari, mwenyezi Mungu atawaona,Wapenzi wangu niombeeni.