Binamu na wewe umeshasahau principle za umbea?
ah aha umenichekesha,ukiwa mpenda ubuyu utawajua tu binamu, eti ukimilik mgahwa na wewe staa ahaha, mjini ukitak ustaa kabebe pochi ya mama ubaya fasta utakua star muulize peti manNdo kina nan hao? Nao ni mastaa wa hapa tzania? Afu mbona hatuwajui? Au kuwa na mgahawa now dayz ni ustaa?
Mno binamu, wanajitambua sanaWametulia