Picha: Mr and Mrs Raqey Mohammed

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Katika familia za mastaa inayonivutia zaidi hapa bongo ni ya hawa wanandoa Raqey Mohamed pamoja na mkewe Sarah, yani familia iko poa sana. Wakati baba akimiliki kampuni ya kupiga picha za mnato pamoja na motion pictures, mama yuko busy na mgahawa wake akifanya yake, yani wanashirikiana vizuri kujenga familia yao hadi raha.

Kitu cha kufurahisha zaidi sijawahi kusikia scandal chafu kwa wanandoa hawa, yani mpaka inatia raha. Wametulia wenyewe mpaka najiulizaga jamani kwani huyo Sarah hana mawifi au wakwe kama naniliuu uwii maana mtaa wa pili kunavyowaka moto utadhan yeye pekee ndo ana ma wifi na wakwe.

Ila inabidi nichunguze vizuri bhana, haiwezekani ndoa ikawa na amani kiasi hiki, ina maana Sarah hana mawifi kama akina Esma? wala wakwe?? Mmh wamejitahid sana hongera zao mungu awajalie maisha marefu, sitaki kesho nije kusikia mmeachana maana na wewe Raqey mambo yako ninayo chini ya carpet ila bado nafanya uchunguzi kwanza

8d8523f12fdee5f2c3d0ba5b8d1cc3cf.jpg


d55f7db97bc5290821500260f1065ef5.jpg
 
hata huku ugogoni(Dodoma) wapo waliomaliza juzi Diamond Jubilei ya miaka yao ya ndoa acha hao hata wajukuu hawajafikisha,
skendo bado (simaanishi kwa vile sio Wabantu)
piga ua wapo wengi wenye mafanikio
chao
 
Ndo kina nan hao? Nao ni mastaa wa hapa tzania? Afu mbona hatuwajui? Au kuwa na mgahawa now dayz ni ustaa?
ah aha umenichekesha,ukiwa mpenda ubuyu utawajua tu binamu, eti ukimilik mgahwa na wewe staa ahaha, mjini ukitak ustaa kabebe pochi ya mama ubaya fasta utakua star muulize peti man
 
Te teh teh, jamaa anazo skendo zake nz zipo chini ya kapeti bado anachunguza!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom