warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,379
Katika familia za mastaa inayonivutia zaidi hapa bongo ni ya hawa wanandoa Raqey Mohamed pamoja na mkewe Sarah, yani familia iko poa sana. Wakati baba akimiliki kampuni ya kupiga picha za mnato pamoja na motion pictures, mama yuko busy na mgahawa wake akifanya yake, yani wanashirikiana vizuri kujenga familia yao hadi raha.
Kitu cha kufurahisha zaidi sijawahi kusikia scandal chafu kwa wanandoa hawa, yani mpaka inatia raha. Wametulia wenyewe mpaka najiulizaga jamani kwani huyo Sarah hana mawifi au wakwe kama naniliuu uwii maana mtaa wa pili kunavyowaka moto utadhan yeye pekee ndo ana ma wifi na wakwe.
Ila inabidi nichunguze vizuri bhana, haiwezekani ndoa ikawa na amani kiasi hiki, ina maana Sarah hana mawifi kama akina Esma? wala wakwe?? Mmh wamejitahid sana hongera zao mungu awajalie maisha marefu, sitaki kesho nije kusikia mmeachana maana na wewe Raqey mambo yako ninayo chini ya carpet ila bado nafanya uchunguzi kwanza