Picha: Mnyika kijiweni.

Picha: Mnyika kijiweni.

Lua

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
704
Reaction score
305
Akiongea na wakazi wa eneo la mbezi jimbo la ubungo, katika kijiwe cha kahawa na wa bodaboda kituo cha luguruni-kwembe. Aliwahoji kama apige kura ya ndio au hapana kwy bajeti ya nchi.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    501.5 KB · Views: 2,504
  • image.jpg
    image.jpg
    555.3 KB · Views: 2,333
  • image.jpg
    image.jpg
    520.9 KB · Views: 2,221
  • image.jpg
    image.jpg
    379.8 KB · Views: 2,159
  • image.jpg
    image.jpg
    335.6 KB · Views: 2,150
duuu nimependa...cjui mbunge wetu atakuja lini kuchakaa na sisi japo kwa dakika, zaidi ya kumwona kwenye cruiser
 
Hiki ndicho kinachowaogopesha magamba, hawawezi kujishusha kuwa watumishi wa watu waliowachagua na kuwaweka madarakani. Wao ni waamrishaji, na ukipingana nao kwa lolote lile, hata kama ni haki yako basi unaitwa mbishi na unatakiwa upate mkong'oto! Na ukiuliza kwa nini mnanipiga unasotekwa ndani...

Endelea jembe letu, safari ni hatua, watatufanyia kila baya lakini kwa wingi wetu tutafika...
 
mnyika ni mbunge mwenye uledi wa hali ya juu hakika ubungo umefika utoke uende wapi..!
 
Hao ndo wabunge tunaowahitaji,
kwetu tuna mbuge wa kupunga mkono akiwa ndani ya vx.
 
Kwa kweli mnyika mtu wa watu ndio maana hata kwenye mzishi ya kamanda judith william raia nyomi zilitaka kufight kisa kupiga picha na mnyika tuu,,,, put on mnyika
 
Ngoja zije ID zisizo na mwezi tangu ziwe created zichafue hali ya hewa
 
Magamba wanafikiri mbunge anayetoa buku 7 saba ndio mtu wa watu kumbe mbunge antakiwa asikilize kero za watu aziwakilishe bungeni
 
Watu kama kina Mwigulu hawawezi kujichanganya namna hii sababu ya kujijengea uadui na wananchi. Huyu kijana yupo huru sababu ana matendo na dhamira safi, hivyo anaweza kujichanganya kijiwe chochote ili apate maoni na ushauri toka kwa wnanchi wa kawaida. Pia akiwajibu mambo mbalimbali wanayopenda kufahamu kutoka kwake.
 
Mnyika safi sana hiyoo.
siku moja pia alipanda daladala baada ya kumaliza mkutano wao wa chama Kibaha.
watu wa Ubungo hongereni.
 
Back
Top Bottom