Jimmy Santadio
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 466
- 134
Sasa naamini kweli bila kumtaja Slaa huko Lumumba hakuna malipo. Duh! Masharti magumu kweli aisee.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Choka mbaya...
Choka mbaya...
Tuonyeshe yako wakati unatolewa funza
HAPO PANA NA JOHN MNYIKA NA MBOWE..
Always watu walioishiwa hoja huja na hoja nyepesi kama kujadili watu ambazo mwisho wa siku hazisaidii na wala hazimsaidii alieziweka,ukijiuliza nini lengo la mleta uzi huu utaona ni majungu tu
Hata baba yako alivyo sasa ni tofauti alivyokuwa miaka 10 au 7 iliyopita hata wewe hebu weka picha zako miaka 5 iliyopita na saa hivi au weka ya baba yako kipindi hicho na sasa hivi
Na wengine kwa kukosa aibu wananchangia ujinga tu sababu mtu kaweka ujinga ili ikusaidie nini? Ina impact gani kwako wewe muweka uzi na wewe uliyechangia?
Kuna vipindi vya mabadiliko kwa binadamu yeyote we unategemea utakuwa hivyo ulivyo hadi uzeeke?
Mnaiga tu mkumbo sababu mtu kaweka kitu lazima uchangie hata kama ni uozo THINK BIG wewe ulieona ni sifa kuandika utumbo humu hebu weka ya baba yako kipindi hicho na sasa hivi poor muhindi wa kuchonga somji
Acha kejeli, alikuwa bado mdogo. Na hata sasa bado ni mdogo ukilinganisha na magwiji vidampa wa ccm. Kuwa mbunge wa jimbo la Ubungo ni jambo linalowafkirisha sana ccm!Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.
umeona eh.sasa vijan wa leo wanataka kujiunga na Chama jumatatu na ijumaa wagombee ubunge!
Choka mbaya...
Hivi john mnyika nae ni mchaga???
Choka mbaya...
pole kama haumjui mnyika wasasa anafananaje,siwezi kujisumbua kwa hilo..
Basi usingejisumbua pia kumuweka huyo Mnyika wa zamani....what was your implication? kwamba anavaa vizuri zaidi siku hizi? kanenepa ? kaota ndevu ? kawa na kipara ? hueleweki......