Picha: Mmiliki wa Home shopping centre


kipasta mbona tunasikia jamaa eti anawatoboa wanaume wenzake huku akiwa kawashikia bastola?
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio mnaponishangaza nyie wenyewe hapa tu hamjaweka picha zenu na bado mnataka za wenzenu. Duh kweli wabongo umbea kazi yenu..
Huyu ni mfanyabishari kubwa......lazima tumjue
 
bora mtuambie mabaya yake maana tusije kumuonea huruma kumbe hana haki ya kuonewa huruma
 
Picha yake aliyomwagiwa tindikali ninayo.........ila si vyema niiweke humu jamvini.
Nitakuwa sijamtendea haki.
 
Ninayo ile aliyomwagiwa tindikali, je niiweke?...
 
kwani huyu jamaa ni mfadhili wa ccm ??? Mbona anachukiwa sana
 
Muulize Ritz atakuwa nazo pengine. Otherwise pigia simu HSC makao makuu....
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo na wewe unatumika kumtetea?
 
Sijui ni wapi tunakoelekea , kuwa na pesa ndio una.....watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…