Hao walinzi wao hata hawaaminiki,yule wa dully sykes wanayemuita Arafat Ngumi jiwe,watoto wadogo wa kitaa wamemfanyia yao mixer kumrekodi mpaka wakamtupia youtube.
Miili mikubwa ila wacameron.
Smahn ndugu..daima sijawahikuwa na ID zaidi ya hii...huyo anaejiita kiface hata simfaham maybe kaamua kujiita hivyo ili aupate umaarufu kupitia mimi coz insta natumia kifesi
Utamtegemea vipi mwanadam mwenzio akulinde....Mungu ndio mweza wa yote...Kama Mungu hatailinda nyumba wailindayo wanakesha bure.......tafakari chukua hatua