MANGI MASTA
Senior Member
- Jul 14, 2011
- 175
- 56
Keil, Jihabarishe hapa. gonga linksKwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.
Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.
Ni rasmi sasa. Nchi imevaa bukta;
1. Chama hiki ni dhahiri kina muelekeo wa kidini lakini dola inakichekelea
2. Kiongozi wa chama hichi ni Rais wa nchi jirani inayopinga uwepo wa URT
3. Rais huyo anakuja URT na kuwakuta wananchi wa URT wanamsubiri kwa hamu
4. Rais huyo anawasomesha wananchi wa YRT kama vile ni watoto - sawasawa?
5. Wananchi wa URT wanamkenulia meno full time
6. Muda wote huo bendera ya URT hairuhusiwi kupeperuka, ni ya nchi jirani tu inayoruhusiwa kutamba
Sawa.Tumeona ila rekebisha maalim Seif sio rais wa kwanza ni makamu wa kwanza wa rais huko Zanzibar.
Wanachama wa CCM wameungana na wake zao CUF
..hiyo bendera hapo ni ya Zanzibar?
..kwanini hawapeperushi bendera ya Tanzania?
..au, kuna ujumbe unatumwa hapo kwa Watanganyika na dhidi ya muungano wetu?
Kwa mwenye uelewa, naomba ufafanuzi wa bendera iliyo nyuma ya jukwaa walilotumia waheshimiwa kwa ajili ya kuongea.
Sijawahi kuona bendera ya namna hiyo na sielewi ina maanisha nini. Nimeona kama kuna bendera ya Tanganyika na Tanzania. Sijui kama ni bendera mbili zimeunganishwa au ni bendera mbili zinapepea kwenye mlingoti mmoja? Mnisamehe, macho yangu ni mabovu.
Hizi picha ni za lini? Yaani mwaka gani na zilipigwa wapi?
maswali mengine bana ni uharo mtupu. Sasa kama umeoma bendera ya taifa la zenj na yule makamo wa zenj wht du u espect acha papara. Sioni msingi wa swali lako