Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

leo Dr slaa kamalizia mkutano wake Kyela mjini na kulala hapo, huku akikusanya umati mkubwa licha ya mvua na radi kali zilizopiga nakutishia helkopta kutua mjini Kyela
 
Ha ha ha mkuu ccm ndo basi tena hii operation ya cdm ndo imekuja kukata mzii wa fitna.

Hii operation inatishia amani ya serikali tukufu ya ccm......... kueneza spirit ya ukombozi kwa watanzania vijijini ni kosa:shetani:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…