PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564
MKUTANO WA CCM WAFANA MBEYA LICHA YA KUTAWALIWA NA USHABIKI WA KISIASA SUGU AWATULIZA WAFUASI WAKE WASILETE FUJO KWENYE MKUTANO HUO

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00593.JPG

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Baadhi ya wananchi na wapenzi wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini wakiwa katika mkutao huo uliyofanika katika kiwanja cha kabwe mwanjelwa
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00611.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00594.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Hapa Naibu Waziri wa Elimu Mhe.Mulugo akiongea na wananchi na wapenzi wa ccm huku akielezea sera za chama cha mapinduzi na mikakati yake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00636.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] M/Kiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Mhe.Godfrey Zambi(mb),akiwasalimia na kuwahutubia wananchi na wanaCCM wa Mbeya Mjini hiyo jana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00632.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00605.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Viongozi mbalimbali wachama walikuwepo mkutanoni hapo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
DSC00600.JPG

DSC00599.JPG

DSC00726.JPG

DSC00721.JPG
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00626.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Vituko vimeanza hapa mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akipokwea na wafuasi wa chadema upande wa pili wa barabara kuu iendayo tunduma[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00667.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mashabiki wa chadema wanamshangilia mkuu wa wilaya hiyo huku wakimfuta na kumwambia njoo huku tuna sera nzuri[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00671.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mkuu wa wilaya huyoo anatimkia kwenye mkutano wao wa ccm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00627.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Anavuka barabara kuelekea mkutanoni baada ya kuwaacha hoi washabiki wa chadema[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00688.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Ngoma inogile sasa sugu anapita barabarani wafuasi wa chama cha chadema wanamzuia ashuke hapo kwenye mkutano wa ccm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00692.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Kazi kweli kweli ushabiki wa kisiasa hapa barabara imefungwa kwa muda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00694.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mashabiki wa chadema wazuia kabisa sugu asipite na ashuke eneo hilo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00706.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Hakika mweshimiwa mbunge wa mbeya mjni Joseph Mbilinyi ameshuka kwa hasira toka katika gari yake ili aongee na wafuasi wa chadema[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00705.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00702.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sugu akiwaambia wapenzi na mashabiki wa chaedema jamani naombeni sana waacheni wenzetu wa ccm wafanye mkutano wao kwa amani tusiwazuie tafadhalini sana hebu tuwe wastaarabu kwa hili huku akishangiliwa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00700.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00701.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sasa naombeni njia nirudi zangu home kwani nimechoka nimetoka kikaoni wapendwa acheni fujo naombeni niachieni njia niende[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00708.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Jamaa wamekubali wamemwachia njia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00698.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sugu huyooo anaenda zake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Matukio yote haya yametokea jana katika kiwanja cha kabwe jijini Mbeya

source Mbeya yetu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Masalia yanakula njama eti Sugu asigombee tena Mbeya.Eti Eddo Mwamalala anapiga jaramba.
 
Sasa Sugu kwa nini alitaka kurusha ngumi?
 
Raisi wa Mbeya huyo mmemuona! Chezea siasa wa wakulima wa ndizi! hao ndio wanaoijua vzr siasa! vIVA Chademaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona wafuasi wa CDM kama wako under influence ya viroba au cha malawi?
 
Mkuu Ritz
Mambo Mbeya yametulia jamaa hawa wa Chadema wamemezoea sana vurugu na ndio sababu hawaishi kuuana kwenye mikutano sisi tunamwaga sera kimewapeleka nini kwenye eneo wao wanadai siku zote Chadema inakubalika Mbeya kinawaogopesha nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hizo picha hazitoi taswira halisi ya idadi halisi ya watu waliohudhuria huo mkutano,kwa kweli magamba walivuna aibu watu walio hudhuria walikuwa wachache mno kulinganisha na wao wanavyojitapa kukubalika hapa Mbeya,kumbuka hapo ni Kabwe sehemu ambayo ni katikati kabisa ya mji na ni centre ya daladala na bajaj zote hapa mjini.Magamba Mbeya hawakubaliki!
 
Sasa Sugu kwa nini alitaka kurusha ngumi?
Wote tumeziona picha na bado zipo hapa, sijaona sehemu Sugu aliporusha au alipotaka kurusha ngumi.
Mkuu Ritz
Mambo Mbeya yametulia jamaa hawa wa Chadema wamemezoea sana vurugu na ndio sababu hawaishi kuuana kwenye mikutano sisi tunamwaga sera kimewapeleka nini kwenye eneo wao wanadai siku zote Chadema inakubalika Mbeya kinawaogopesha nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
Siku si nyingi tutajuwa tu haya mahaba yenu yanatokana na nini, hili si jambo la kawaida, watoto wa kiume kuwa na mahaba namna hii, something hidden but/lakini ukweli utajulikana.
 
Wote tumeziona picha na bado zipo hapa, sijaona sehemu Sugu aliporusha au alipotaka kurusha ngumi.

Siku si nyingi tutajuwa tu haya mahaba yenu yanatokana na nini, hili si jambo la kawaida, watoto wa kiume kuwa na mahaba namna hii, something hidden but/lakini ukweli utajulikana.

Mkuu Matola karibu sana kwenye mahaba yetu; hatuja kukana ni wewe tu kujitia wazimu waogopa kitu gani ulishakia Ritz au chama kaua mtu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
MKUTANO WA CCM WAFANA MBEYA LICHA YA KUTAWALIWA NA USHABIKI WA KISIASA SUGU AWATULIZA WAFUASI WAKE WASILETE FUJO KWENYE MKUTANO HUO

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00593.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Baadhi ya wananchi na wapenzi wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini wakiwa katika mkutao huo uliyofanika katika kiwanja cha kabwe mwanjelwa
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00611.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00594.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Hapa Naibu Waziri wa Elimu Mhe.Mulugo akiongea na wananchi na wapenzi wa ccm huku akielezea sera za chama cha mapinduzi na mikakati yake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00636.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] M/Kiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Mhe.Godfrey Zambi(mb),akiwasalimia na kuwahutubia wananchi na wanaCCM wa Mbeya Mjini hiyo jana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00632.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00605.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Viongozi mbalimbali wachama walikuwepo mkutanoni hapo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
DSC00600.JPG

DSC00599.JPG

DSC00726.JPG

DSC00721.JPG
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00626.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Vituko vimeanza hapa mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akipokwea na wafuasi wa chadema upande wa pili wa barabara kuu iendayo tunduma[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00667.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mashabiki wa chadema wanamshangilia mkuu wa wilaya hiyo huku wakimfuta na kumwambia njoo huku tuna sera nzuri[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00671.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mkuu wa wilaya huyoo anatimkia kwenye mkutano wao wa ccm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00627.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Anavuka barabara kuelekea mkutanoni baada ya kuwaacha hoi washabiki wa chadema[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00688.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Ngoma inogile sasa sugu anapita barabarani wafuasi wa chama cha chadema wanamzuia ashuke hapo kwenye mkutano wa ccm[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00692.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Kazi kweli kweli ushabiki wa kisiasa hapa barabara imefungwa kwa muda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00694.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Mashabiki wa chadema wazuia kabisa sugu asipite na ashuke eneo hilo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00706.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Hakika mweshimiwa mbunge wa mbeya mjni Joseph Mbilinyi ameshuka kwa hasira toka katika gari yake ili aongee na wafuasi wa chadema[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00705.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00702.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sugu akiwaambia wapenzi na mashabiki wa chaedema jamani naombeni sana waacheni wenzetu wa ccm wafanye mkutano wao kwa amani tusiwazuie tafadhalini sana hebu tuwe wastaarabu kwa hili huku akishangiliwa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00700.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00701.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sasa naombeni njia nirudi zangu home kwani nimechoka nimetoka kikaoni wapendwa acheni fujo naombeni niachieni njia niende[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00708.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Jamaa wamekubali wamemwachia njia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00698.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Sugu huyooo anaenda zake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Matukio yote haya yametokea jana katika kiwanja cha kabwe jijini Mbeya

source Mbeya yetu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

SUGU 4 MBEYA. hivi kwenye huo mkutano wa ccm mgeni rasimi alikuwa mzee wa visiwa vya zimbabwe mr mulugo?
 
Nimeaga kwetu na huna uwezo wa kuniuwa na ukithubutu kwenye ukoo wenu hatobaki hata panya.

Yakhe yameshakuwa hayo tena? Tukuuwe kisa chake ni haswa? Mimi nimekurabisha kwenye mahaba ule raha utakaa kwa shemeji mpaka lini? Bikini ya x mass umepata?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom