Picha Mh. Halima Mdee Flora Mbasha Josephat Gwajima on one stage.

Picha Mh. Halima Mdee Flora Mbasha Josephat Gwajima on one stage.

TB Joshua ni Next Level

Kama ni hivo hata Gwajima anaweza kujenga jengo kubwa la kuwatosha watu wake kama alivofanya TB Joshua kuliko kuwakalisha watu kwenye jua na mvua
cc:BIGURUBE
 
Imeandikwa...."watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...itoshe kusema kwamba unabii utatimia. Maana mkuu wa ulimwengu huu yuko very busy kuliko inavyokadiriwa katika kuwaangusha hata wale wanaodhani wako imara. Amejipenyeza makanisani na watu wanamwabudu wengine kwa kujua wengine bila kujua. Lakini ole wao wanaocheka sasa, maana furaha yao wameishaipata.
 
Aliyeleta huu uzi namtilia mashaka. H
Chopa haina bei kubwa kiasi cha Bilioni 7.5. Nenda kwa Gwajima kaulize upate bei halisi kwa sababu Babu Yangu aliyepo Japan alinidokeza Chopa zinauzwa kati ya Dola laki 2 mpaka Dola laki 4. Hiyo ya Bilioni 7.5 naitilia mashaka.
 
Najiuliza nini maana ya helikopta katika safari ya kwenda mbinguni, nasubiria kuona na meli

Ni kwaajili ya kusambaza injili ya Yesu habari ndio hiyo angalia wanasiasa wanavyofaamika vijijini ndani kabisa lakini utakuta nyumba ina bendera zao lakini huyu mchungaji ameamua atumie njia hiyo kuwahubiria watu habari njema mimi sioni ajabu na vibaya ni uelewa tu wa kutoamini watu fulani au jamii fulani haistahili kumiliki kitu amkeni bandugu fikiri
 
Back
Top Bottom