Waandamanaji walijaribu kuenda maeneo wawili wawili hivyo ni bora kufanya OPERESHENI MAALUM kama hii ikijumuisha MILITARY POLICE (JWTZ), FFU, ASKARI POLISI, ASKARI KANZU, MGAMBO WA JIJI na USALAMA WA TAIFA.
Si dhani tena kutakuwa na mpango wa watu kuandamana wawili wawili kama vile wanapita nazao na hatimaye kuzuka ghafla KIDONGO CHEKUNDU, IKULU n.k
Ila mkakati endelevu-wa-ulinzi na usalama unatakiwa kupangwa na serikali ili maisha ya watu wasio na vurugu kuendelea kama kawaida iwe kwenda shuleni, biashara, kazini , kuabudu n.k