MAFILILI JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,377 Reaction score 1,200 Nov 12, 2012 #181 CCM bado ni kimbilio wa wanyonge na kinapendwa na watanzania tuliowengi, uthibitisho uchaguzi wa udiwani uliomalizaika majuzi CCM imekomba viti vingi kuliko vyama vingine
CCM bado ni kimbilio wa wanyonge na kinapendwa na watanzania tuliowengi, uthibitisho uchaguzi wa udiwani uliomalizaika majuzi CCM imekomba viti vingi kuliko vyama vingine
N Ngandema Bwila JF-Expert Member Joined Sep 8, 2010 Posts 1,017 Reaction score 258 Nov 12, 2012 #182 Kumbe SUGU naye anatoka Kilimanjaro, Mbona tulimsifia alipoenda Kyela na Dr. Mwakyembe! Busara ni mtu kuchagua aongee nini wakati gani na sehemu gani!
Kumbe SUGU naye anatoka Kilimanjaro, Mbona tulimsifia alipoenda Kyela na Dr. Mwakyembe! Busara ni mtu kuchagua aongee nini wakati gani na sehemu gani!
M massai JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 653 Reaction score 137 Nov 12, 2012 #183 Ni mtazamo wako wa kipunguani,mmejawa na UKANDA,UDINI na UKABILA ndio maana kila mara hamuoni zadi ya hapo
Ni mtazamo wako wa kipunguani,mmejawa na UKANDA,UDINI na UKABILA ndio maana kila mara hamuoni zadi ya hapo