Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

Inasemekana Mayweather ataramba kitita cha dola za kimarekani milioni 180
 
Zimetengwa US $200m. Hapo Mayweither anapata 60% na MP anapata 40%.
Akhsante sana, nimekupata vizuri.

Si unajua habari za kuambiwa tena mimi nlizichukua kama zilivyo
 
Hii game haitakuwa na mshindi...
 
Kwa kijiona yeye ni bora kuliko Casius Marcellus Clay lazima Mayweather akae..tena mapeeeema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…