Jozee yuko States anakula Bata na mchumba hela walizopewa na ccm. Kweli Jozee kiboko! Yaani kamuharibia kabisa future mzee wa watu, badala ya jina lake kuingia katika historia kama mwanamapinduzi sasa amekuwa Yuda Iskariote mbele ya jamii.
Watu wa Karatu walikuwa wanatembea kifua mbele wakijitapa wamezaa jembe Leo ukiwauliza mnamfahamu Dr wanasema "ndio nani?" Yote shauri ya Jozee!