Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Mama Regina Lowassa akiwa na akina mama wa Mafinga, mchana wa Leo. Mama Regina ameendelea kuongea na akina mama wa maeneo tofauti hapa nchini ikiwa ni zaidi ya mikoa 20 hadi sasa aliyotembelea kwa lengo la kuzifahamu changamoto zao kwa undani, kutoa Elimu ya kupiga kura, kuhamasisha watu kujitokeza kupiga kura.
Lakini pia Mama Regina ametumia nafasi hiyo kumuombea Kura mume wake Mhe. Edward Ngoyai pamoja na kuwaombea Madiwa na Wabunge wanaotokana na umoja wa Ukawa.
Lakini pia Mama Regina ametumia nafasi hiyo kumuombea Kura mume wake Mhe. Edward Ngoyai pamoja na kuwaombea Madiwa na Wabunge wanaotokana na umoja wa Ukawa.