Namshauri amshauri kihiyo Salma Kikwete naye aingie darasani badala ya kupoteza muda na pesa yetu kwenye kuzurura.
safi sana,naye atagombea ujumbe wa nec?
Anasoma kozi gani?Hati mama salma k ameshamaliza udsm?
Anasoma kozi gani?
Namshauri amshauri kihiyo Salma Kikwete naye aingie darasani badala ya kupoteza muda na pesa yetu kwenye kuzurura.
Du na mimi ngoja nikajiandikishe chuo kikuu huria maana masoma ya huko yatakuwa marahisi sana.Mbona namuona huyu mama kila siku yupo na mzee kwenye ziara sasa muda wa kubukua anautoa wapi wajameni?