SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 46,221
- 66,249
Afadhali mola awe nyuma yake(asiwe mbele akimwongoza) maana ingekua tabuPiga kazi bibie Mola yuko nyuma yako!
Whatever!Afadhali mola awe nyuma yake(asiwe mbele akimwongoza) maana ingekua tabu
Huyo anawatumikia watanzaniaKama hii ni kweli sasa siju anakuwa serikali au anakuwa mpinzani!!!. ACT wanaweza wakadai hawatumiki ila kwa mambo kma haya Watanzania hawatakuwa na imani nao tena na 2020 watawaambia nni watanzania kuhusu serikali ya CCM wakati nao ni part ya serikali hyo hyo????
, alichokuwa anakitafuta Zitto amekipata. Alitamani uenyekiti akiwa chadema, sasa akalie kiti cha huyo mama aone anawanachama wangapi watakao mpigia kura 2020
Majizi huyajui ?! Au unampango wa kututafutia ban!Huyo anawatumikia watanzania
nibora ya huyo kuliko
Wale wanao ungana na majizi wanao waliza watanzania
Mawazo ya kijinga kabisa haya kutolewa na mtu aliye hai, labda kama umekufaKama kuna chama wananchi hawana imani nacho ni CHADEMA.
CHADEMA haijawahi kutoa hata mkuu wa mkoa; kama timu ni Arsenal ambaye pamoja na kukaa na kocha kwa miaka 20 haijawahi kubeba kombe la Ulaya
Wezi mbona hamuwakamati??? Ndio maana watanzania wanawadharau wanasiasa mbwembwe za kufungua mahakama ya mafisadi na wanadai hakuna kesi then nyie mnaotumika mnatoka povu kuwa mtu flani ni mwizi!!! Ssa serikali yako mbona haimkamati mpaka leo??Huyo anawatumikia watanzania
nibora ya huyo kuliko
Wale wanao ungana na majizi wanao waliza watanzania
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA- UNAKILI NYINGI, HUNA MAARIFA NA HII SI DUNAIA YA WENYE AKILI BALI NI DUNIA YA WENYE MAARIFA. PITA HUKU.POLEMawazo ya kijinga kabisa haya kutolewa na mtu aliye hai, labda kama umekufa
Kwahyo kupewa ukuu wa mkoa ndio kigezo cha chama kinachoaminika???? Hivi uko serious mkuu ama unautani!!! Yaani anayeaminika anapimwa kwa kura za kuchaguliwa au post za kuteuliwa??? Ni bora uaminiwe na wananchi milion 6 na halmashauri 27 au uaminiwe na mwananchi mmoja ????Kama kuna chama wananchi hawana imani nacho ni CHADEMA.
CHADEMA haijawahi kutoa hata mkuu wa mkoa; kama timu ni Arsenal ambaye pamoja na kukaa na kocha kwa miaka 20 haijawahi kubeba kombe la Ulaya
Hivi hajajiuzulu uongozi? Au kuacha uanachama?Asee kwahyo huyo ndo mwenyekt wa act wanaijiita wazalendo