Aisha aliyevaa miwani nyuma akiwa na wanae
Hivi hizi shule bado kuna kuchapana viboko? si ilipigwa marufuku.
Namtakia mafanikio mema. Huyo ni mwanamke jasiri. Anastahili pongezi.
Huyu aandaliwe kuja kugombea urais wa CCM mwaka 2020
Namtakia mafanikio mema. Huyo ni mwanamke jasiri. Anastahili pongezi.
Najiuliza mama mtoto miaka 25 mtoto wa kwanza miaka 9, kwa hiyo akiwa na miaka 16 ndiyo kajifungua, mimba alishika akiwa na miaka 15, kaolewa akiwa na miaka mingapi? Aliye oa sheria ya kubaka haimhusu hapa?
Watoto wazuri..Inshaalah afanikiwe
kuna watoto wabaya?