PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.

IMG_0032.jpeg
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.

IMG_0033.jpeg
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.

Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
 
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.

View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.

View attachment 3509102

Very painful.
 
Nimelia machozi ya uchungu kama mama!

Ni nani anayeweza kuyabeba maumivu ya huyo mama? Hakuna!

Mungu aendelee kumpa faraja kuu, na kijana wake apumzike kwa amani, Amen.
 
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.

View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.

View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.

Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Mwigulu na wenzako lipeni fidia wahanga toka ktk Mali mlinzi tuibia
 
Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini.

View attachment 3509101
Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake.

View attachment 3509102
Katika mahafali hayo, mama yake alivaa mavazi ya wahitimu na kubeba picha ya mwanawe kama ishara ya kumuenzi na kutambua juhudi zake za kufikia hatua ya kuhitimu.

Tukio hilo limeacha simanzi kubwa na kuibua upya maswali kuhusu uwajibikaji juu ya vifo vya vijana vilivyotokea siku hiyo.
Hawa wajinga wameumiza familia zetu sana ,wapumbavu wakubwa, alafu mojitu ati ipo kuteuna ,mara maridhiano 9d najua cha kufanya,

Jiulize mtoto mpaka anafika pale mzazi kaangika vipi, alafu ati tuitatambue hii serikali , hakuna ishindwe kabisa
 
Back
Top Bottom