Lazima serikali Ihakikishe inakusanya Kodi Kwa wingi ndio ila Tozo Tunapinga.Unapoiona picha ya Magufuli hiyo ni picha ya Rais Samia kwa upande mwingine. Rais Samia na Hayati ni wamoja na hawatenganishiki wala hawatenganishwi.
Kingine ,Picha ya Chagua Magufuli ndio inayotumika kumumwakilisha mama wa uongozi wa mfano Afrika na duniani kwa ujumla.
Binafsi nasimama na Rais Samia na serikali yake kwenye suala la tozo, ni lazima Serikali ihakikishe inakusanya Kodi kwa wingi. Maendeleo hayaji kwa watu bila maumivu
Duh hapa bado sijaelewaLazima serikali Ihakikishe inakusanya Kodi Kwa wingi ndio ila Tozo Tunapinga.
Nimeenda Hardware ya Maleko Arusha nikauliza Risiti ya bidhaa nilizonunua, mhudumu akaniambia "unauliza Risiti Kwa Maleko, hapa hatutoi". Nikaamuambia TRA inataka tukinunua tudai Risiti. Nikajibiwa "Maleko ndo TRA mwenyewe hatoi Risiti"
Halafu wanyonge tunaTOZWA na bado mishahara inakatwa KODI.
chawa waliokubuhuHii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya Chagua Magufuli. Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Bungo - Kijazi Interchange Mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205
Watanzania ni mindlessHii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya Chagua Magufuli. Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Bungo - Kijazi Interchange Mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205
Huyo Ni chawa Promax...Hii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya Chagua Magufuli. Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Bungo - Kijazi Interchange Mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205
Aisee . Juzi nilikuwa pale mitaa ya shauri moyo.. vijana wamechoka sana na yanayo endelea.Hilo mbona liko wazi.
Mioyoni wanakiri ila hadharani wanaponda.
Je. Viongozi wetu nao wanahitaji kuwa na viongozi??
Asubirie atamchagua tu siku ikifikaHii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya Chagua Magufuli. Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Bungo - Kijazi Interchange Mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205
Waliotekwa enzi zake walaleje ?Endelea kulala kwa amani mwamba John Pombe Magufuli[emoji885][emoji885][emoji885][emoji885]
Forever in my heart[emoji120]
Hivi ni Kwa nini walitekwa na wengine kama wewe hawakutekwa.? Ilikuweje?Waliotekwa enzi zake walaleje ?
Hii Sasa ni sifa,
Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya "Chagua Magufuli". Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko.
Hii picha ni pale Oil Com Ubungo - Kijazi Interchange, mtu kaweka kabisa kwenye gari lake na ana amani kabisa. Kuna watu hapa watafura kuona hii picha.
View attachment 2337205
Kwani Hitler pamoja na udictator wake aliua watu wote duniani? Kwakuwa hakuuwa watu wote, tuseme alikuwa mzuri maana aliua wengine na wengine hakuwaua?Hivi ni Kwa nini walitekwa na wengine kama wewe hawakutekwa.? Ilikuweje?
Aisee . Juzi nilikuwa pale mitaa ya shauri moyo.. vijana wamechoka sana na yanayo endelea.
Ujenzi wa miundombinu umekuwa mbovu sana.
Mfano daraja la Keko pale. Ni Bomu lile..
Hilo ndo jibu la hapo.?Kwani Hitler pamoja na udictator wake aliua watu wote duniani? Kwakuwa hakuuwa watu wote, tuseme alikuwa mzuri maana aliua wengine na wengine hakuwaua?
Hilo ndo jibu la hapo.?