Picha: Magufuli atinga jikoni kusonga ugali

Mkemia huyu!Chakula cha Moto anaweka kwenye plastic Hii ni hatari kwa Afya ya mlaji!
 

lowasa akienda geita apige hiyo nguna mambo iwe droo,
 
Huo ni ujuha! ndio matatizo ya kutokuwa pamoja na mke!
 
Punguza hasira angalia vizuri mleta mada ameleta picha ya mwezi Januari,kipindi hata fomu za kugombea zilikuwa hazijatolewa,tena Lowassa na Sumaye wakiwa bado makada wa CCM

Musami ndugu yangu,sio hasira hila ni mshangao..kama picha tokea Januari,,inatuhusu nini kwa kipindi hiki cha uchaguzi..?
Pia kumbuku tarehe na maelezo ya mleta uzi ni tofauti sana,,Januari Magufuli hakuwa mgombea bado..Sasa kwanini kaandika mgombea???
 
Tunataka Rais Wa Kutatua Matatizo Ya Wananchi Hatutaki Rais Wa Kushinda Jikoni Kukaangiza Vinono Utadhani Bachelb.Na Hy Ni Kigezo Tosha Cha Kumnyima Kura.

Cdhan km hii nayo ni njia ya kuongeza kura..!!
 

Jumapili, January 4, 2015




Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.



haya ndo madhara ya kulala mzungu wa nne na wife.mambo km haya alitakiwa kuyafanya fist lady na si yy.
 
Hivi sasa nchi ya Tanzania ina maadui wakuu wa4. Umasikini, Ujinga, Maradhi na CCM.
 
Kwangu mimi ni katiba ya Warioba tu, kama hiyo sio ajenda yako basi serikali yako haina tofauti na ya Kikwete, a totally failed administration
 

we imejuaje kuwa amelizika kuona hali hiyo....?

na je unajua ni tukio gani lilikuwepo hapo hadi kufanya hao kinamama kupiga ugali hapo...?

je unajua nini kilifuata baada ya tukio hilo...?

kumbuka hilo tukio sio la leo...ni la tangu mwezi wa kwanza .
 
naona kama amepesti tena ya mamvi ya kuwa na serikali rafiki kwa mama ntilie.....huu utakuwa ni ushauri wa kinana wa kuvaa ndala na kubeba tofali...nasikia manyerere anapiga per diem za lumumba kwenye msafara wa masolex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…