Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,524 15,149 Jan 24, 2016 Thread starter #2 Mkijaribu huu mchezo mtakufa kabla hata Muhimbili hamjafikishwa!
C Chabo JF-Expert Member Jul 20, 2011 1,091 1,151 Jan 24, 2016 #4 Ya kawaida sana...hakuna hatari yoyote hapo
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,524 15,149 Jan 24, 2016 Thread starter #5 Chabo said: Ya kawaida sana...hakuna hatari yoyote hapo Click to expand... hiyo ngazi hapo juu ikiteguka ataponea wapi!!!ameiunga kimagumashi sana
Chabo said: Ya kawaida sana...hakuna hatari yoyote hapo Click to expand... hiyo ngazi hapo juu ikiteguka ataponea wapi!!!ameiunga kimagumashi sana
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,524 15,149 Jan 24, 2016 Thread starter #6 Smart911 said: Hataki kibarua... Click to expand... atakufa siku si zake
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,575 154,739 Jan 24, 2016 #7 Zamaulid said: atakufa siku si zake Click to expand... Anapunguza gharama...
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,524 15,149 Jan 24, 2016 Thread starter #8 Smart911 said: Anapunguza gharama... Click to expand... hatari sana aiss...ngoja niwakazanie watoto waende shule maana.......
Smart911 said: Anapunguza gharama... Click to expand... hatari sana aiss...ngoja niwakazanie watoto waende shule maana.......
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 25, 2016 #13 Kama sio fotoshop basi huyujamaa ni kichaa