Mungu Mkubwa! Jana nilikuwa kwenye sherehe za blackouts za Jk wala Ka TV hakakuwaka! Nimefurahishwa na UMATI. Napingana na msemo kuwa Mapinduzi ya kweli yataletwa na mwananchi na wala si wanasiasa ni kupingana mwenyewe! Ni nani mwananchi? Ni nani Mwanasiasa, Mimi naamini kila mwananchi ni mwanasiasa na mwanasiasa ni mwananchi, labda UZALENDO wa mwananchi ama mwanasiasa ndivyo vya kuhoji. Na tukipata wanasiasa wazalendo kama CDM tutapona.
Ng'wabeja, mwasemezya, mwakondya, mwakora muno, na asi ,Aika wana MWANZA
NIMEWADONDOKEA KWA UJUMBE WENU KWA WATAWALA
Aksante Mwanajamii kwa Uhondo