Picha: Maalim Seif aipaisha CUF Dakar Senegal

Shein akiiona hiyo picha anazidi kuchoka mzee wa watu kakalia kiti sio chake kabisa jecha sio mtu mzuri kwa kweli.
Sory hiyo picha ya katikati huyo alievaa kanzu ni mzee yusuph?
 
Nimeona sahani za misosi tu huko kupaa kukowapi?
 
Shein akiiona hiyo picha anazidi kuchoka mzee wa watu kakalia kiti sio chake kabisa jecha sio mtu mzuri kwa kweli.
Sory hiyo picha ya katikati huyo alievaa kanzu ni mzee yusuph?
Mzee Yusuph aongozane na Maalim Seif ili apewe kesi ya uhaini au utakatishaji fedha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…