Maamey ni kweli lakini hao weusi wametoka Afrika kama mfano wa Bilali na mchana mwema anteyWana genes za weupe katika ukoo wao, unaweza kukuta nyuma huko kulikuwa na muingiliano na wa Asia au wa Uropa, kwani Waarabu si wote weupe.

Mambo ya genes hayo
niliwahi skia story ya mapacha walio zaliwa december 2012 na mwingine january 2013
Hii me ndo ngekuwa huyo bwana nicngekubali.