Ok. Lakini ujue hapo hamna hata kura 1 yakeHuu uzi utakuwa mahususi kwa ajili ya picha za maajabu za kumhusu mgombea urais wa ukawa aka The Don EDO
simaani konga maana konga kwake ni kawaida sana
Kama na wewe utapata picha za kushangaza kuhusu huyu mtu tupia hapa hapa
Yaani nikumuona huyu baba naona kabisa harufu ya amani inapotea nchi kwetu mungu ibariki tanzania