Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
Hii ndo sifa ya Kiongozi
Maamuzi magumu
Maamuzi magumu
Hii ndo sifa ya Kiongozi
Maamuzi magumu
![]()
![]()
..........dr mihogo kaunguza picha kabisa naona huko aliko ni tumbo kuvuruga tu na kuhara ....walitumwa kuja kuwahadaa watanzania kuwa ni wapinzani kumbe mamluki du ccm noma pia slaa na pumba nao ni noma mpaka eti wanakubali kupigwa na police eti wanasiasa kumbe ccm iliwaweka kutuhadaa mh,,,yalisemwa na nyerere upinzani wa kweli utatoka ndani ya chama tawala na si nje kweli yametimia. baada ya simba wa ukweli kuingia msituni swala wote waliokuwa mamluki wakatimua mbiooooo!! ..hahahahahahahahaha..ah hahahahahaha. safi sana. najisikia amani kwa tz kuingia upinzania wa kweli!
huo upuuz wadanganyeni watoto.hilo bomba utalisha familia???hilo bomba ni la mafisadi

Unawaza kinyume na maumbile wewe
huo upuuz wadanganyeni watoto.hilo bomba utalisha familia???hilo bomba ni la mafisadi
Wa..puuuzi nyie mtu kajenga chama kwa muda mrefu mmefanya utumbo ye kaeleza ukweli wake mnamuona chizi ila lowassa mwema sham on u
Hilo bomba ni la mafisadi kivipi? Hebu fafanua