Picha: Lowassa leo Kiomboi, Singida

Picha: Lowassa leo Kiomboi, Singida

Rim hazitoki Kenya. Zinatoka south na China. Kenya wana crown. Mondi rotatrim brand ya south.

Hujamjib swal mkuu kauliza bei kwa kenya hata kama hazizalishw huko lakin c znauzwa huko? Elewa swal jib swal
 

Attachments

  • 20150913_120914.jpg
    20150913_120914.jpg
    530.7 KB · Views: 300
inaitwa drunken master style......

Lowasa kama anaanza kuongea kumbe ndio anamaliza.

Kama ahami chama ccm kumbe tayari ni mwanachama wa chadema/ukawa

kama anachukiwa kumbe moyoni watu tuna mahaba nae.

Haaa haaa magamba poleni sana
 
Loawassaaaaaaaaaaaaaa.Japo kuna mtu kajifariji leo kwa kusema kuwa eti ukawa itageuka ukiwa oct 25.Najua anatetemeka kuhusu ule msala wake wa kontena za pembe kwa sababu Sum Aye kaanza kumchoresha kila kona.Naona leo kaongea kwa jazba anaona safari ya moghadishu inamnyemelea ma n ni naa.
 
Kila kona ni nyomi........tar 25 napaona mbali kweli.
 
Back
Top Bottom