Mgombea udiwani kupitia SiSiEm amegoma kupeleka wapiga kura wake kwenye mkutano wa kufunga kampeni jijini Mwanza kwa kuhofia wapiga kura wake watatelekezwa na kushindwa kurudi kijijini kumpigia kura!Sina matatizo hata kidogo. Endeleeni kutengeneza "nyomi", hata ikibidi kutumia watoto wadogo.
Tarehe 17
Tunaomba picha za geita . kwa hali inavyoonyesha Kanda ya ziwa ndiyo itampatia ushindi lowasa ingawa kila mahali wanampenda lakini Kanda ya ziwa na mbeya wamezidisha.
ila wana vichinjio...WaNaozungusha mikono hapo wengi n under 18
Lakini hiyo haibadilishi kwamba kwenye mkutano wa Lowassa huko Biharamulo watoto wadogo walikuwa wengi sana. Wanaonekana kwenye hizo picha wazi wazi.Mgombea udiwani kupitia SiSiEm amegoma kupeleka wapiga kura wake kwenye mkutano wa kufunga kampeni jijini Mwanza kwa kuhofia wapiga kura wake watatelekezwa na kushindwa kurudi kijijini kumpigia kura!
Unateseka bureeee! uchaguzi utafanyika na mshindi atajulikana! shida ipo kwa CCM wanaosubiri gori la mkono.Sina matatizo hata kidogo. Endeleeni kutengeneza "nyomi", hata ikibidi kutumia watoto wadogo.
Sio gori bali goli.Unateseka bureeee! uchaguzi utafanyika na mshindi atajulikana! shida ipo kwa CCM wanaosubiri gori la mkono.
Bahati nzuri sana ujumbe umekugusa mpaka ukaishiwa hoja!Sio gori bali goli.
Kukusahihisha sio kuishiwa hoja. Hata walimu shuleni husahihisha wanafunzi wao, unamaana hao nao wameishiwa hoja?Bahati nzuri sana ujumbe umekugusa mpaka ukaishiwa hoja!
Hapa sio darasani na wewe huwezi kuwa mwalimu kwani huna hata uwezo wa kujenga hoja sembuse kukosoa! Msingi wa hoja ni upuuzi wa CCM wa kutaka kuchakachua matokeo ya uchaguzi, na wewe hukuwa na haja ya kukosowa makosa ya kiuchapaji badala ya kukosoa hoja mjaarabu!Kukusahihisha sio kuishiwa hoja. Hata walimu shuleni husahihisha wanafunzi wao, unamaana hao nao wameishiwa hoja?
Acha kuendekeza ubishi wa kitoto wewe.Hapa sio darasani na wewe huwezi kuwa mwalimu kwani huna hata uwezo wa kujenga hoja sembuse kukosoa! Msingi wa hoja ni upuuzi wa CCM wa kutaka kuchakachua matokeo ya uchaguzi, na wewe hukuwa na haja ya kukosowa makosa ya kiuchapaji badala ya kukosoa hoja mjaarabu!
Hili ndilo hitimisho la mkosa hoja! na bado unajinasibu kuwa wewe ni msomi!Acha kuendekeza ubishi wa kitoto wewe.
Haya, endelea kuandika gori badala ya goli.Hili ndilo hitimisho la mkosa hoja! na bado unajinasibu kuwa wewe ni msomi!