Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Yaani nashindwa kuelewa lowasa ana nini, au kuna vimafuta anajipaka nakufanya avutie watu kiasi hiki? Mbona hatumii nguvu kuubwa kuhutubia, wala hapigi pushaup, kama wakwetu, dah, yaani naumia sana kila nikifungua picha za huyu mtu, nimechanganyikiwa kabisa, huko kijijini nako anajaza km jangwani, haiwezekani, kuna namna inafanyika, wanaunganisha picha tu. Inakuwaje watu wanajaa bila kusombwa na malory? Huu ni uonevu kabisa, tuweke usawa kidogo.
 
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
 

Nyota nyota Mkuu...
 
MTUMIENI ujumbe DR. MIOGO
Kwa haya mafuriko anayoendelea kuyapata Edo popote aendapo tena bila kutumia mafuso na malori tofauti na mtani wake mzee wa push ups wa mtaa wa Lumumba ambaye nyomi zake ni za vijana wanaokwenda kushuhudia 'fiesta' za bure, ni dhahiri sasa kuwa njia ya kuelekea Ikulu ishakuwa nyeupe kwa EL
 
dah yani EL asipochukua nchi,hyo cku nitauzunika sana na kutoa machozi vibaya mno...
Ila naamin kura yangu ndio ya ushindi kwa Lowasa,nitapiga na kulinda kura hyo mpaka matokeo yatakapo bandikwa
 
Kila eneo ni kuvunja record kwa staili yake. Ni raha ilioje, asubuhi, mchana hadi usiku wapo UKAWA. Pole zao wanaoshinda na vinyonga, asubuhi gamba usiku gwanda.
 
hapo hakuna......

Hapo hakuna futui.

the comedy

diamond

yamoto band

barnaba

ally kiba

na wengine wengi.....


sasa najiuliza Ccm watashindaje kwa Umma kama Huu....amin nawambieni Ukawa wakiwa Makini kura Zisipo ipiwa Lowassa atashinda kwa 70%
 


Cha muhimu ni kuibana tume isiibe kura hata moja.
 
baada ya uchaguzi hatutaki malalamiko ooh tumeibiwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…