PICHA: Kweli lifti ina manjonjo yake

PICHA: Kweli lifti ina manjonjo yake

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
Inaonekana katabia haka ni kawaida kwa wengi wetu.
 
Attachments

  • 1437479722670.jpg
    1437479722670.jpg
    64.9 KB · Views: 1,898
kweli kabusa ukikaa siti ya mbele unainuliwa tu
 
Check hicho kishoka hapo, yaani unatamani jamaa, marafiki zako wawepo njia mnayopita ili wakuone, te te te teeeee...
 
NAPENDA SANA LIFT HASA KUKAA HAPO HAPO MBELE HUKU NIKIOMBA MUNGU ANIPE GARI LANGU ILI NIWE NAENDESHA KAMA ALIYENIPA LIFT.
KWANZA HEBU NITUMIE WASAHA HUU KUMUOMBA MUNGU.
"EE MUNGU WA MBINGUNI, NAJUA SIKIO LAKO SIO ZITO KUSIKI YALE TUOMBAYO WAJA WAKO, NINAOMBA UNIFANIKISHE NIENDESHE GARI ZURI LINALOTAMANIWA NA WATU WENGI NA PIA NIJENGE NYUMBA NZURI AMBAYO NIKIKAA NAJIONA MTU SIO MSINDIKIZAJI, HIZI ZOTE NI BARAKA KUTOKA KWAKO. NAAMINI UMENISIKIA NAOMBA KWA JINA LA MUNGU BABA, NA LA MUNGU MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU, AMEN:dance:
 
Biblia inasema Ombeni, mtapewa.
Bisheni, mtafunguliwa.
Tafuteni, nanyi mtapata.

Sasa ndugu yangu usiishie kuomba tu amblo ni tendo la kiroho.
Hayo mengine mawili ni kufanya kazi kwa bidii na kutumia akili.
Hapo utajihakikishia kutejeleza ombi lako.
 
sha
Amina!! hebu nianze na hayo mengine ya kutafuta nipewe, nashukuru kwa kunikumbu
 
hahah watu wana maneno...mwingine anaomba lift na honi anataka kupiga..majanga
 
Back
Top Bottom