Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Nikipenda nakubaliWe unakubali kuolewa na babu?
Nikipenda nakubaliWe unakubali kuolewa na babu?
😂😂😂jeez!! WTF is this!!!Ila jamaniView attachment 1190822
Ila huyu kibonge mashallah..Nilishamleteaga uzi wake humu kwenye ile id yangu ya Copenhagen dn iliyopewa life ban. Sasa mimi na macron nani mjanja??
View attachment 1190061
Cc Cmoney
Si wabadilishane na Trump tu, huyu jamaa katuangusha kweli mabaharia yaini uwezo anao, sababu anayo ila kakosa nia tu. Kwenda kuchukua bibi kama yuke ni aibu kubwa na kufru.Mzuqa
Yani bado kijana mdogo umekosa nini? Una cheo cha juu nchini mwako una hela tuu why? Why Emmanuel? Mbona wako wazee tu wengi wazuri?
Bantu forever
View attachment 1190029View attachment 1190031View attachment 1190033
Duh! Kwa nini hafanyi mazoezi kupungua?
Mkuu embu kua serious Bana..Mbona chibonge sana? Unalala naye vipi huyo?
Mkuu we ni me au ke?Kwa kweli ni lazima wakugombanie kwani umewaokoa, hawawezi pata mtu hao vibonge hata kwa lazima.
Kuna member humu anasema vibonge hawapatagi wanaume Sasa hawa walioolewa sijui wameolewa na wanawake wenzaoHii ndio mizigo ninayoipenda kwa dhati wanasemaga mizigo ya kuvunja chaga.Macron anakwama wapi