Picha kutoka maktaba

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,671
Pichani wa tatu kushoto ni Rais wa Sasa wa Urusi Vladimir Putin, akifatiwa na Rais wa Kwanza wa Msumbiji Samora Machel, wa nne kushoto na Rais wa Sasa wa Zimbabwe Ermason Damuduzo Munangagwa wa tano kutoka kushoto.

Picha hii ilichukuliwa mwaka 1973 kwenye Kambi ya Wapigania uhuru Kaole Bagamoyo.

Putin Alikaaa Tanzania akifundisha Wapigania uhuru Kwa miaka 4 toka mwaka 1974 mpaka mwaka 1977

15726815877249449.jpeg
 
Ndio maana hatucheki na Wasaliti wanaotumika na Mabeberu
🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐
Hawa ndio mabeberu hatari zaidi
 
''Putin Alikaaa Tanzania akifundisha Wapigania uhuru Kwa miaka 4 toka mwaka 1974 mpaka mwaka 1977''

Alikuwa akifundisha wapigania Uhuru wa Tanzania au wa hizo nchi za Msumbiji na Zimbabwe?

Au alikuwa akiwafundisha wapigania uhuru wa Tanzania jinsi ya kuishi baada ya kuwa huru?

Uhuru tulipata 1961 na hyo mafunzo ya Putin yalikuwa kati ya mwaka 1974-1977
 
Hapo usicho elewa ni nini?? Kwasababu sijaandika ni wapigania uhuru wa Tanzania ila mafunzo yalifanyika Tanzania baada ya kupata uhuru 1961
 
Hizi nchi nadhani mpaka sasa zinatumia mfumo wa Urusi kwenye mambo ya demokrasia
 
Back
Top Bottom